sw_tn/heb/11/07.md

508 B

baad ya kupewa ujumbe wa kiungu

"Kwa sababu Mungu alimwambia yeye"

kuhusu vitu ambavyo havijaonekana

"kuhusu vitu ambavyo hapana hakuna hata mmoja amewahi kuviona kabla" au " kuhusu matukio ambayo hayajatokea bado"

Ulimwengu

Watu wanaoishi duniani wakati huo

akawa mrithi wa haki

Nuhu anaongelewa kana kwamba alikuwa akirithi mali ana utajiri kutoka kwa mwana familia. "alipokea kutoka kwa Mungu mwenye haki"

hivyo kulinganga na imani

"kwamba Mungu huwapa wale walio na imani katika yeye"