# baad ya kupewa ujumbe wa kiungu "Kwa sababu Mungu alimwambia yeye" # kuhusu vitu ambavyo havijaonekana "kuhusu vitu ambavyo hapana hakuna hata mmoja amewahi kuviona kabla" au " kuhusu matukio ambayo hayajatokea bado" # Ulimwengu Watu wanaoishi duniani wakati huo # akawa mrithi wa haki Nuhu anaongelewa kana kwamba alikuwa akirithi mali ana utajiri kutoka kwa mwana familia. "alipokea kutoka kwa Mungu mwenye haki" # hivyo kulinganga na imani "kwamba Mungu huwapa wale walio na imani katika yeye"