sw_tn/heb/11/04.md

16 lines
424 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
kisha mwandishi anatoa mifano mara nyingi kutoka Agano la Kale ya watu walioishi ka imani ingawa hawakupokea kile ambacho alikuwa amekiahidi wakati walipoishi duniani.
# alishuhudiwa kuwa mwenye haki
'Mungu alishuhudia kwamba Habili alikuwa mwenye haki"
# Abel bado anazungumza.
Yale aliyofanya Abel yanaendelea kutufundisha
# alishuhudiwa kuwa mwenye haki
Mungu alimshuhudia kuwa mwenye haki"