# Sentensi Unganishi: kisha mwandishi anatoa mifano mara nyingi kutoka Agano la Kale ya watu walioishi ka imani ingawa hawakupokea kile ambacho alikuwa amekiahidi wakati walipoishi duniani. # alishuhudiwa kuwa mwenye haki 'Mungu alishuhudia kwamba Habili alikuwa mwenye haki" # Abel bado anazungumza. Yale aliyofanya Abel yanaendelea kutufundisha # alishuhudiwa kuwa mwenye haki Mungu alimshuhudia kuwa mwenye haki"