sw_tn/heb/11/04.md

424 B

Sentensi Unganishi:

kisha mwandishi anatoa mifano mara nyingi kutoka Agano la Kale ya watu walioishi ka imani ingawa hawakupokea kile ambacho alikuwa amekiahidi wakati walipoishi duniani.

alishuhudiwa kuwa mwenye haki

'Mungu alishuhudia kwamba Habili alikuwa mwenye haki"

Abel bado anazungumza.

Yale aliyofanya Abel yanaendelea kutufundisha

alishuhudiwa kuwa mwenye haki

Mungu alimshuhudia kuwa mwenye haki"