sw_tn/heb/10/35.md

16 lines
367 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
katika 10:37 ni nukuu kutoka kwa nabii Isaya katika Agano la Kale.
# Msiutupe ujasiri wenu, ulio na zawadi kuu.
"Kukataa ahadi kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kutupa kitu kisicho na thamani au kisicho na maana.
# kwa kitambo kidogo
" kama Mungu alivyosema katika maandiko, kwa kila kitambo kidogo"
# kwa muda kitambo sana
"mapema mno"