sw_tn/heb/10/35.md

367 B

Maelezo ya Jumla:

katika 10:37 ni nukuu kutoka kwa nabii Isaya katika Agano la Kale.

Msiutupe ujasiri wenu, ulio na zawadi kuu.

"Kukataa ahadi kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kutupa kitu kisicho na thamani au kisicho na maana.

kwa kitambo kidogo

" kama Mungu alivyosema katika maandiko, kwa kila kitambo kidogo"

kwa muda kitambo sana

"mapema mno"