# Maelezo ya Jumla: katika 10:37 ni nukuu kutoka kwa nabii Isaya katika Agano la Kale. # Msiutupe ujasiri wenu, ulio na zawadi kuu. "Kukataa ahadi kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kutupa kitu kisicho na thamani au kisicho na maana. # kwa kitambo kidogo " kama Mungu alivyosema katika maandiko, kwa kila kitambo kidogo" # kwa muda kitambo sana "mapema mno"