sw_tn/heb/10/32.md

28 lines
615 B
Markdown

# siku zilizopita
"wakati uliopita"
# baada ya kutiwa nuru
kujifunza kweli kunaongelewa kana kwamba Mungu aliwasha taa juu ya mtu. AT: "baada ya kujifunza ukweli kuhusu Kristo"
# jinsi mlivyo vumilia mapingamizi makubwa
"ni jinsi gani umevumilia mateso mengi"
# mlikuwa mmewekwa wazi katika dhihaka ya matukano na mateso
"Watu waliwadhihaki kwa matukano na mateso ya wazi wazi"
# mlikuwa mmewekwa wazi katika dhihaka na matukano
watu waliwaasi ninyi na kukutukana wazi
# mlikuwa mkishirkiana
"mlijiuna na wale"
# urithi urio bora na wa milele
Baraka za Munguza milele zinaongelewa kana kwamba ni mali