sw_tn/heb/10/32.md

615 B

siku zilizopita

"wakati uliopita"

baada ya kutiwa nuru

kujifunza kweli kunaongelewa kana kwamba Mungu aliwasha taa juu ya mtu. AT: "baada ya kujifunza ukweli kuhusu Kristo"

jinsi mlivyo vumilia mapingamizi makubwa

"ni jinsi gani umevumilia mateso mengi"

mlikuwa mmewekwa wazi katika dhihaka ya matukano na mateso

"Watu waliwadhihaki kwa matukano na mateso ya wazi wazi"

mlikuwa mmewekwa wazi katika dhihaka na matukano

watu waliwaasi ninyi na kukutukana wazi

mlikuwa mkishirkiana

"mlijiuna na wale"

urithi urio bora na wa milele

Baraka za Munguza milele zinaongelewa kana kwamba ni mali