# siku zilizopita "wakati uliopita" # baada ya kutiwa nuru kujifunza kweli kunaongelewa kana kwamba Mungu aliwasha taa juu ya mtu. AT: "baada ya kujifunza ukweli kuhusu Kristo" # jinsi mlivyo vumilia mapingamizi makubwa "ni jinsi gani umevumilia mateso mengi" # mlikuwa mmewekwa wazi katika dhihaka ya matukano na mateso "Watu waliwadhihaki kwa matukano na mateso ya wazi wazi" # mlikuwa mmewekwa wazi katika dhihaka na matukano watu waliwaasi ninyi na kukutukana wazi # mlikuwa mkishirkiana "mlijiuna na wale" # urithi urio bora na wa milele Baraka za Munguza milele zinaongelewa kana kwamba ni mali