sw_tn/heb/10/28.md

772 B

wawili au watatu

Imepewa maana ya kwambahii inamaanisha "angalau wawili au watatu"

kiwango gani zaidi cha adhabu unafikiri kinamstahili...neema?

Mwandishi anasisitiza ukuu wa adhabu kwa wale wote wanaomkataa Kristo.

amemdharau mwana wa Mungu

Kutokumjali Kristo na kumtukana kunaongelewa kana kwamba mtu anakanyaga.

ambaye ameihesabu damu ya agano kama sio takatifu

Hii inaonyesha jinsi mtu alivyokanyaga Mwana wa Mungu. Kwa kuihesbu damu ya agano kama sio takatifu"

Mwana wa Mungu

Hili ni jina muhimu la cheo cha Yesu

damu ya agano

"damu" hapa inasimama kama kifo cha Kristo, ambacho kwa hicho Mungu alianzisha agano jipya.

damu ambayo kwa hiyo alitakaswa

"damu ambayo Mungu alimtakasa kwa hiyo"

Roho wa neema

"Roho wa Mungu anayetoa neema"