# wawili au watatu Imepewa maana ya kwambahii inamaanisha "angalau wawili au watatu" # kiwango gani zaidi cha adhabu unafikiri kinamstahili...neema? Mwandishi anasisitiza ukuu wa adhabu kwa wale wote wanaomkataa Kristo. # amemdharau mwana wa Mungu Kutokumjali Kristo na kumtukana kunaongelewa kana kwamba mtu anakanyaga. # ambaye ameihesabu damu ya agano kama sio takatifu Hii inaonyesha jinsi mtu alivyokanyaga Mwana wa Mungu. Kwa kuihesbu damu ya agano kama sio takatifu" # Mwana wa Mungu Hili ni jina muhimu la cheo cha Yesu # damu ya agano "damu" hapa inasimama kama kifo cha Kristo, ambacho kwa hicho Mungu alianzisha agano jipya. # damu ambayo kwa hiyo alitakaswa "damu ambayo Mungu alimtakasa kwa hiyo" # Roho wa neema "Roho wa Mungu anayetoa neema"