sw_tn/heb/10/28.md

32 lines
772 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wawili au watatu
Imepewa maana ya kwambahii inamaanisha "angalau wawili au watatu"
# kiwango gani zaidi cha adhabu unafikiri kinamstahili...neema?
Mwandishi anasisitiza ukuu wa adhabu kwa wale wote wanaomkataa Kristo.
# amemdharau mwana wa Mungu
Kutokumjali Kristo na kumtukana kunaongelewa kana kwamba mtu anakanyaga.
# ambaye ameihesabu damu ya agano kama sio takatifu
Hii inaonyesha jinsi mtu alivyokanyaga Mwana wa Mungu. Kwa kuihesbu damu ya agano kama sio takatifu"
# Mwana wa Mungu
Hili ni jina muhimu la cheo cha Yesu
# damu ya agano
"damu" hapa inasimama kama kifo cha Kristo, ambacho kwa hicho Mungu alianzisha agano jipya.
# damu ambayo kwa hiyo alitakaswa
"damu ambayo Mungu alimtakasa kwa hiyo"
# Roho wa neema
"Roho wa Mungu anayetoa neema"