sw_tn/heb/10/23.md

434 B

shikilia kwa udhabiti ungamo la tarajio la ujasiri wetu

"endelea kuwaambia watu kwamba tuna ujasiri kwa sababu tunaamini kuwa Mungu atatenda kile alichoahidi kutenda"

pasipo kugeukageuka/ kuyumba yumba.

pasipokuwa na kuwa na hakika" au "pasipokuwa na shaka"

Tusiache kukusanyika pamoja

"tusiache kujumuika pamoja kwa ajili ya ibada"

kadri mwonavyo siku inakaribia

"Kama mnavyofahamu kuwa Kristo atakuja hivi karibuni"