# shikilia kwa udhabiti ungamo la tarajio la ujasiri wetu "endelea kuwaambia watu kwamba tuna ujasiri kwa sababu tunaamini kuwa Mungu atatenda kile alichoahidi kutenda" # pasipo kugeukageuka/ kuyumba yumba. pasipokuwa na kuwa na hakika" au "pasipokuwa na shaka" # Tusiache kukusanyika pamoja "tusiache kujumuika pamoja kwa ajili ya ibada" # kadri mwonavyo siku inakaribia "Kama mnavyofahamu kuwa Kristo atakuja hivi karibuni"