sw_tn/heb/10/23.md

16 lines
434 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# shikilia kwa udhabiti ungamo la tarajio la ujasiri wetu
"endelea kuwaambia watu kwamba tuna ujasiri kwa sababu tunaamini kuwa Mungu atatenda kile alichoahidi kutenda"
# pasipo kugeukageuka/ kuyumba yumba.
pasipokuwa na kuwa na hakika" au "pasipokuwa na shaka"
# Tusiache kukusanyika pamoja
"tusiache kujumuika pamoja kwa ajili ya ibada"
# kadri mwonavyo siku inakaribia
"Kama mnavyofahamu kuwa Kristo atakuja hivi karibuni"