sw_tn/heb/10/17.md

631 B

Maelezo ya Jumla:

Hii inaendeleza nukuu ya nabii Yeremia katika Agano la Kale

Sitazikumbuka dhambi zao na makosa yao

Hii ni sehemu ya pili ya ushuhuda wa Roho Mtakatifu (tazama 10:15). Kisha asema, "Sitazikumbuka dhambi zao na makosa yao."

Sitazikumbuka dhambi zao

"Sitazikumbuka dhambi zao"au "sitafikiri tena kuhusu dhambi zao"

Sasa

Hii haimaanishi "wakati huu," lakini imetumika kuvuta usikivu kwa kipengele kinachofuata.

mahali palipo na msamaha kwa mambo haya

"wakati Mungu aliposamehe mambo haya"

hakuna tena dhabihu yeyote kwa ajili ya dhambi

"watu wao hawahitajiki kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi"