sw_tn/heb/10/17.md

24 lines
631 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Hii inaendeleza nukuu ya nabii Yeremia katika Agano la Kale
# Sitazikumbuka dhambi zao na makosa yao
Hii ni sehemu ya pili ya ushuhuda wa Roho Mtakatifu (tazama 10:15). Kisha asema, "Sitazikumbuka dhambi zao na makosa yao."
# Sitazikumbuka dhambi zao
"Sitazikumbuka dhambi zao"au "sitafikiri tena kuhusu dhambi zao"
# Sasa
Hii haimaanishi "wakati huu," lakini imetumika kuvuta usikivu kwa kipengele kinachofuata.
# mahali palipo na msamaha kwa mambo haya
"wakati Mungu aliposamehe mambo haya"
# hakuna tena dhabihu yeyote kwa ajili ya dhambi
"watu wao hawahitajiki kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi"