sw_tn/heb/10/11.md

752 B

kwa upande mwingine ... na kwa upande mwingine

Haya maneno yanatumika kulinganisha vitu viwili . Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kusisitiza kwamba mwandishi anaweka ulinganifu. Au unaweza kutumia "Lakini."

siku kwa siku

"siku hadi siku" au "kila siku"

haiwezi kuziondoa dhambi

Hii inaongelea. dhambi kana kwamba ni chombo ambacho mtu anaweza kukiondoa. AT: "haiwezi kumfanya Mungu asamehe dhambi"

hadi maandui zake wamewkwa chini ya miguu yake

kuteswa kwa maadui wa Kristo kunaongelewa kana kwamba ni sehemu iliyotengenezwa kwa ajili yake kupumzishia migu yake. AT: "hadi Mungu atakapowaseta maadui wa Kristo na kuwa kana kiti cha miguu yake"

wale ambao wametengwa kwa Mungu

"wale ambao Mungu amewatenga kwa ajili yake mwenyewe"