sw_tn/heb/10/11.md

20 lines
752 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwa upande mwingine ... na kwa upande mwingine
Haya maneno yanatumika kulinganisha vitu viwili . Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kusisitiza kwamba mwandishi anaweka ulinganifu. Au unaweza kutumia "Lakini."
# siku kwa siku
"siku hadi siku" au "kila siku"
# haiwezi kuziondoa dhambi
Hii inaongelea. dhambi kana kwamba ni chombo ambacho mtu anaweza kukiondoa. AT: "haiwezi kumfanya Mungu asamehe dhambi"
# hadi maandui zake wamewkwa chini ya miguu yake
kuteswa kwa maadui wa Kristo kunaongelewa kana kwamba ni sehemu iliyotengenezwa kwa ajili yake kupumzishia migu yake. AT: "hadi Mungu atakapowaseta maadui wa Kristo na kuwa kana kiti cha miguu yake"
# wale ambao wametengwa kwa Mungu
"wale ambao Mungu amewatenga kwa ajili yake mwenyewe"