# kwa upande mwingine ... na kwa upande mwingine Haya maneno yanatumika kulinganisha vitu viwili . Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kusisitiza kwamba mwandishi anaweka ulinganifu. Au unaweza kutumia "Lakini." # siku kwa siku "siku hadi siku" au "kila siku" # haiwezi kuziondoa dhambi Hii inaongelea. dhambi kana kwamba ni chombo ambacho mtu anaweza kukiondoa. AT: "haiwezi kumfanya Mungu asamehe dhambi" # hadi maandui zake wamewkwa chini ya miguu yake kuteswa kwa maadui wa Kristo kunaongelewa kana kwamba ni sehemu iliyotengenezwa kwa ajili yake kupumzishia migu yake. AT: "hadi Mungu atakapowaseta maadui wa Kristo na kuwa kana kiti cha miguu yake" # wale ambao wametengwa kwa Mungu "wale ambao Mungu amewatenga kwa ajili yake mwenyewe"