sw_tn/heb/10/08.md

40 lines
1.2 KiB
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
pamoja na kwamba anabadilisha maneno polepole, mwandishi anarudia nukuu hii kufoka Zaburi ya Daudi kusisitiza.
# dhabihu...sadaka...au sadaka za kuteketezwa... dhabihu kwa ajili ya dhambi
Tafsiri maneno haya kama ulivyotafsiri 10:5
# amabyo hutolewa
"ambayo makuhani hutoa"
# Ona/tazama
"Tazama" au "sikiliza"
# ameweka pembeni taratibu za awali
Jina la tendo dhaaniwa "taratibu"/ tendo hapa inamaanisha njia ya kudhabihu kwa ajili ya dhambi.Kusitisha kufanya kunaongelewa kana kwamba kilikuwa ni chombo ambacho kingeweza kuondolewa.
# taratibu za awali... taratibu za pili
Maneno "kwanza" na "pili" ni namba za kawaida.AT: "taratibu za zamani ...taratibu mpya"
# ili kuanzishe utaratibu wa pili
Kuanzisha njia ya pili ya kudhabihu inaongelewa kana kwamba kuanzisha utaratibu AT: "ill kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi kwa mara nyingine"
# Tumetakaswa/ tumetengwa
"Mungu ametutakasa" au "Mungu ametuweka kwake kwa ajili yake"
# tumekwisha kutengwa kwa Mungu kwa mapenzi yake
"Mungu alitaka Kristo kujitoa mwenyewe dhabihu na kwamba dhabihu ilishatutenga sisi kwa Mungu"
# kupitia dhabihu ya mwili wa Yesu Kristo
"wakati Yesu Kristo alipotoa mwili wake kama dhambihu" au "kwa sababu Yesu Kristo aliudhabihu mwili wake"