sw_tn/heb/10/08.md

1.2 KiB

Maelezo ya Jumla:

pamoja na kwamba anabadilisha maneno polepole, mwandishi anarudia nukuu hii kufoka Zaburi ya Daudi kusisitiza.

dhabihu...sadaka...au sadaka za kuteketezwa... dhabihu kwa ajili ya dhambi

Tafsiri maneno haya kama ulivyotafsiri 10:5

amabyo hutolewa

"ambayo makuhani hutoa"

Ona/tazama

"Tazama" au "sikiliza"

ameweka pembeni taratibu za awali

Jina la tendo dhaaniwa "taratibu"/ tendo hapa inamaanisha njia ya kudhabihu kwa ajili ya dhambi.Kusitisha kufanya kunaongelewa kana kwamba kilikuwa ni chombo ambacho kingeweza kuondolewa.

taratibu za awali... taratibu za pili

Maneno "kwanza" na "pili" ni namba za kawaida.AT: "taratibu za zamani ...taratibu mpya"

ili kuanzishe utaratibu wa pili

Kuanzisha njia ya pili ya kudhabihu inaongelewa kana kwamba kuanzisha utaratibu AT: "ill kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi kwa mara nyingine"

Tumetakaswa/ tumetengwa

"Mungu ametutakasa" au "Mungu ametuweka kwake kwa ajili yake"

tumekwisha kutengwa kwa Mungu kwa mapenzi yake

"Mungu alitaka Kristo kujitoa mwenyewe dhabihu na kwamba dhabihu ilishatutenga sisi kwa Mungu"

kupitia dhabihu ya mwili wa Yesu Kristo

"wakati Yesu Kristo alipotoa mwili wake kama dhambihu" au "kwa sababu Yesu Kristo aliudhabihu mwili wake"