# Maelezo ya Jumla: pamoja na kwamba anabadilisha maneno polepole, mwandishi anarudia nukuu hii kufoka Zaburi ya Daudi kusisitiza. # dhabihu...sadaka...au sadaka za kuteketezwa... dhabihu kwa ajili ya dhambi Tafsiri maneno haya kama ulivyotafsiri 10:5 # amabyo hutolewa "ambayo makuhani hutoa" # Ona/tazama "Tazama" au "sikiliza" # ameweka pembeni taratibu za awali Jina la tendo dhaaniwa "taratibu"/ tendo hapa inamaanisha njia ya kudhabihu kwa ajili ya dhambi.Kusitisha kufanya kunaongelewa kana kwamba kilikuwa ni chombo ambacho kingeweza kuondolewa. # taratibu za awali... taratibu za pili Maneno "kwanza" na "pili" ni namba za kawaida.AT: "taratibu za zamani ...taratibu mpya" # ili kuanzishe utaratibu wa pili Kuanzisha njia ya pili ya kudhabihu inaongelewa kana kwamba kuanzisha utaratibu AT: "ill kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi kwa mara nyingine" # Tumetakaswa/ tumetengwa "Mungu ametutakasa" au "Mungu ametuweka kwake kwa ajili yake" # tumekwisha kutengwa kwa Mungu kwa mapenzi yake "Mungu alitaka Kristo kujitoa mwenyewe dhabihu na kwamba dhabihu ilishatutenga sisi kwa Mungu" # kupitia dhabihu ya mwili wa Yesu Kristo "wakati Yesu Kristo alipotoa mwili wake kama dhambihu" au "kwa sababu Yesu Kristo aliudhabihu mwili wake"