|
# wosia
|
|
|
|
hati ya kisheria ambayo inamtaja mtu ambaye angepokea zile mali wakati mwenye mali akifa.
|
|
|
|
# kifo cha mtu aliyetenda ni lazima kihakikishwe
|
|
|
|
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "mtu ni lazima ahakikishe kwamba mtu aliweka wosia amekufa"
|