# wosia hati ya kisheria ambayo inamtaja mtu ambaye angepokea zile mali wakati mwenye mali akifa. # kifo cha mtu aliyetenda ni lazima kihakikishwe Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "mtu ni lazima ahakikishe kwamba mtu aliweka wosia amekufa"