sw_tn/heb/09/13.md

1.7 KiB

kunyunyiziwa kwa majivu kwa hao ambao hawajatakaswa

Kuhani angemimina kiasi kidogo cha majivu kwa watu wasiosafi.

je si sana zaidi damu ya Yesu...kuosha nafsi zetu kutoka katika matendo mafu ili kumtumikia Mungu aliye hai?

Mwandishi anatumia nukuu kusisitiza kwamba dhabihu ya Kristo ilikuwa na nguvu. AT: Hivyo hakika damu ya Kristo itatusafisha nafsi zetu hata zaidi kutoka katika kazi/ matendo mafu na kumtumikia Mungu aliye hai! Kwa sababu, kupitia kwa kupitia Roho wa milele, alijitoa mwenyewe pasipo hatia kwa Mungu.

damu ya Kristo

"damu" ya Yesu inasimama kwa kifo chake.

kusafisha dhamiri zetu

"Dhamiri" hapa inamaanisha mtu kujisikia hatia. Kwa sababu Yesu alijidhabihu yeye mwenyewe, waumini hawapaswi tena kujisikia hatia kwa ajili ya dhambi zao walizozifanya kwa sababu amewasamehe.

waa

Hii ni dhambi ndogo au kosa la kimaadili hapa linaongelewa kana kwamba lilikuwa dogo,doa lisilo la kawaida kuharibu juu ya mwili wa Kristo.

safisha

"kusafisha" linasimama kwa tendo la nafsi zetu kupokea msamaha wa kutokuwa na hatia kwa ajili ya dhambi tulizozitenda

hao walioitwa na Mungu

wale ambao Mungu amewateua au kuchaguliwa na kuwa watoto wake

Kazi/ matendo mafu

matendo mafu yanaongelewa kana kwamba yalikuwa yakitoka katika ulimwengu wa wafu.

Kwa sababu hii

"kama matokeo" au "kwa sababu hii"

Ni mjumbe/ mpatanishi wa agano jipya

Hii inamaanisha Kristo alisababisha agano jipya kati ya Mungu na wanadamu kuwepo.

agano la kwanza

tafsiri hii kama ulivyotafsiri 8:6

wale walioitwa

Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. AT: "wale ambao Mungu aliowachagua kuwa wana wake"

urithi

upokeaji wa kile ambacho Mungu alikuwa amewaahidi waumini kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kurithi kitu na mali kutoka katika mwanafamilia.