sw_tn/heb/09/13.md

52 lines
1.7 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kunyunyiziwa kwa majivu kwa hao ambao hawajatakaswa
Kuhani angemimina kiasi kidogo cha majivu kwa watu wasiosafi.
# je si sana zaidi damu ya Yesu...kuosha nafsi zetu kutoka katika matendo mafu ili kumtumikia Mungu aliye hai?
Mwandishi anatumia nukuu kusisitiza kwamba dhabihu ya Kristo ilikuwa na nguvu. AT: Hivyo hakika damu ya Kristo itatusafisha nafsi zetu hata zaidi kutoka katika kazi/ matendo mafu na kumtumikia Mungu aliye hai! Kwa sababu, kupitia kwa kupitia Roho wa milele, alijitoa mwenyewe pasipo hatia kwa Mungu.
# damu ya Kristo
"damu" ya Yesu inasimama kwa kifo chake.
# kusafisha dhamiri zetu
"Dhamiri" hapa inamaanisha mtu kujisikia hatia. Kwa sababu Yesu alijidhabihu yeye mwenyewe, waumini hawapaswi tena kujisikia hatia kwa ajili ya dhambi zao walizozifanya kwa sababu amewasamehe.
# waa
Hii ni dhambi ndogo au kosa la kimaadili hapa linaongelewa kana kwamba lilikuwa dogo,doa lisilo la kawaida kuharibu juu ya mwili wa Kristo.
# safisha
"kusafisha" linasimama kwa tendo la nafsi zetu kupokea msamaha wa kutokuwa na hatia kwa ajili ya dhambi tulizozitenda
# hao walioitwa na Mungu
wale ambao Mungu amewateua au kuchaguliwa na kuwa watoto wake
# Kazi/ matendo mafu
matendo mafu yanaongelewa kana kwamba yalikuwa yakitoka katika ulimwengu wa wafu.
# Kwa sababu hii
"kama matokeo" au "kwa sababu hii"
# Ni mjumbe/ mpatanishi wa agano jipya
Hii inamaanisha Kristo alisababisha agano jipya kati ya Mungu na wanadamu kuwepo.
# agano la kwanza
tafsiri hii kama ulivyotafsiri 8:6
# wale walioitwa
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. AT: "wale ambao Mungu aliowachagua kuwa wana wake"
# urithi
upokeaji wa kile ambacho Mungu alikuwa amewaahidi waumini kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kurithi kitu na mali kutoka katika mwanafamilia.