sw_tn/heb/09/06.md

311 B

Baada ya vitu hivi kuandaliwa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji.AT: "Baada ya makuhani kuandaa vitu hivi"

na sio pasipo damu

Hii inaweza kusemwa katika muundo tendewa. AT: "na mara zote alileta damu"

damu

Hii ni damu ya dume na mbuzi ambazo kuhani mkuu alipaswa kudhabihu siku ya upatanisho.