# Baada ya vitu hivi kuandaliwa Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji.AT: "Baada ya makuhani kuandaa vitu hivi" # na sio pasipo damu Hii inaweza kusemwa katika muundo tendewa. AT: "na mara zote alileta damu" # damu Hii ni damu ya dume na mbuzi ambazo kuhani mkuu alipaswa kudhabihu siku ya upatanisho.