sw_tn/heb/09/06.md

12 lines
311 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Baada ya vitu hivi kuandaliwa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji.AT: "Baada ya makuhani kuandaa vitu hivi"
# na sio pasipo damu
Hii inaweza kusemwa katika muundo tendewa. AT: "na mara zote alileta damu"
# damu
Hii ni damu ya dume na mbuzi ambazo kuhani mkuu alipaswa kudhabihu siku ya upatanisho.