sw_tn/heb/08/10.md

686 B

Maelezo ya Jumla:

Nukuu hii inatoka kwa nabii Yeremia.

nyumba ya Israeli

Watu wa Israeli wanaongelewa kana kwamba walikuwa ni nyumba.

baada ya siku hizo

"baada ya wakati huo"

nitaweka sheria zangu mioyoni mwao

Sheria za Mungu zinaongelewa kana kwamba ni vyombo ambavyo vingeweza kuwekwa mahali fulani. Uwezo wa watu kufikiri kunaongelewa kana kwamba ni sehemu.AT: "Nitawawezesha kuelewa sheria zangu"

Pia nitaziandika mioyoni mwao

Mioyo ya watu ilifikiriwa kuwa kituo cha uaminifu kwa Mungu, na imeongelewa kana kwamba ni ukurasa ambao ungeweza kuandikwa.

nitakuwa Mungu wao

"Nitakuwa Mungu wanae mwabudu"

watakuwa watu wangu

"watakuwa watu ambao ninawajali"