sw_tn/heb/08/10.md

28 lines
686 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Nukuu hii inatoka kwa nabii Yeremia.
# nyumba ya Israeli
Watu wa Israeli wanaongelewa kana kwamba walikuwa ni nyumba.
# baada ya siku hizo
"baada ya wakati huo"
# nitaweka sheria zangu mioyoni mwao
Sheria za Mungu zinaongelewa kana kwamba ni vyombo ambavyo vingeweza kuwekwa mahali fulani. Uwezo wa watu kufikiri kunaongelewa kana kwamba ni sehemu.AT: "Nitawawezesha kuelewa sheria zangu"
# Pia nitaziandika mioyoni mwao
Mioyo ya watu ilifikiriwa kuwa kituo cha uaminifu kwa Mungu, na imeongelewa kana kwamba ni ukurasa ambao ungeweza kuandikwa.
# nitakuwa Mungu wao
"Nitakuwa Mungu wanae mwabudu"
# watakuwa watu wangu
"watakuwa watu ambao ninawajali"