sw_tn/heb/08/06.md

807 B

Sentensi Unganishi:

Sehemu hii inaanza kwa kuonyesha kwamba agano jipya ni bora kuliko agano la kale la Israeli na Yuda.

Kristo amepokea

"Mungu amempa Kristo"

huduma iliyo bora zaidi. kama alivyo mpatanishi wa agano bora

"huduma iliyo bora zaidi, kama Kristo alivyo mpatanishi wa agano bora"

mpatanishi wa agano bora

Hii ina maanisha kuwa Kristo alisababisha agano bora kuendelea kati ya Mungu na wanadamu.

ambalo liko katika ahadi bora

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: ''ni agano hili ambalo Mungu alilifanya kulingana na ahadi zilizo bora" au "Mungu aliahidi vitu bora wakati alipofanya agano hili"

Aagano la kwanza... agano la pili

Haya maneno "kwanza" na "pili" ni namba za kawaida. AT:" agano la zamani ... agano jipya"

halingekuwa na makosa

"ingekuwa kamilifu"