sw_tn/heb/08/06.md

28 lines
807 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Sehemu hii inaanza kwa kuonyesha kwamba agano jipya ni bora kuliko agano la kale la Israeli na Yuda.
# Kristo amepokea
"Mungu amempa Kristo"
# huduma iliyo bora zaidi. kama alivyo mpatanishi wa agano bora
"huduma iliyo bora zaidi, kama Kristo alivyo mpatanishi wa agano bora"
# mpatanishi wa agano bora
Hii ina maanisha kuwa Kristo alisababisha agano bora kuendelea kati ya Mungu na wanadamu.
# ambalo liko katika ahadi bora
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: ''ni agano hili ambalo Mungu alilifanya kulingana na ahadi zilizo bora" au "Mungu aliahidi vitu bora wakati alipofanya agano hili"
# Aagano la kwanza... agano la pili
Haya maneno "kwanza" na "pili" ni namba za kawaida. AT:" agano la zamani ... agano jipya"
# halingekuwa na makosa
"ingekuwa kamilifu"