sw_tn/heb/07/20.md

12 lines
354 B
Markdown

# maelezo ya Jumla:
Nukuu hii inatoka katika Zaburiya Daudi kama mstari wa 17
# hii haikutokea pasipo kula kiapo
Tendo la kula kiapo linaongelewa bila kusema ni nani aliyekula hicho kiapo. Japo kuwa alikuwa Mungu.
# kwa kiapo kilichotolewa kwa ambaye alimwambia
hii inawea kusemwa katika mfumo tendaji. AT:"kwa sababu Mungu aliapa kwake kwa kusema"