sw_tn/heb/07/20.md

354 B

maelezo ya Jumla:

Nukuu hii inatoka katika Zaburiya Daudi kama mstari wa 17

hii haikutokea pasipo kula kiapo

Tendo la kula kiapo linaongelewa bila kusema ni nani aliyekula hicho kiapo. Japo kuwa alikuwa Mungu.

kwa kiapo kilichotolewa kwa ambaye alimwambia

hii inawea kusemwa katika mfumo tendaji. AT:"kwa sababu Mungu aliapa kwake kwa kusema"