# maelezo ya Jumla: Nukuu hii inatoka katika Zaburiya Daudi kama mstari wa 17 # hii haikutokea pasipo kula kiapo Tendo la kula kiapo linaongelewa bila kusema ni nani aliyekula hicho kiapo. Japo kuwa alikuwa Mungu. # kwa kiapo kilichotolewa kwa ambaye alimwambia hii inawea kusemwa katika mfumo tendaji. AT:"kwa sababu Mungu aliapa kwake kwa kusema"