sw_tn/heb/07/18.md

20 lines
586 B
Markdown

# kulikuwa na amri ya kwanza kutanguliwa
Mungu aliifanya amri yake ya kwanza kutofaa"
# sheria haikukamilisha chochote
sheria inaongelewa kana kwamba alikuwa ni mtu ambaye angeweza mutenda.
# kuna utangulizi wa ujasiri mzuri
"Mungu ametupa hoja bora ya kuwa na ujasiri"
# kuna utangulizi wa ujasiri bora iliyombele yetu ambayo kwa hiyo tunamkaribia Mungu
Ujasiri kwa wakati ujao unaongelewa kana kwamba ni kitu ambacho kutia hicho mtu lazima amkaribie Mungu.
# tunamkaribia Mungu
Kumwabudu Mungu na kuwa na upendeleo wake vinaongelewa kana kwamba ni tendo la kumkaribia yeye.