# kulikuwa na amri ya kwanza kutanguliwa Mungu aliifanya amri yake ya kwanza kutofaa" # sheria haikukamilisha chochote sheria inaongelewa kana kwamba alikuwa ni mtu ambaye angeweza mutenda. # kuna utangulizi wa ujasiri mzuri "Mungu ametupa hoja bora ya kuwa na ujasiri" # kuna utangulizi wa ujasiri bora iliyombele yetu ambayo kwa hiyo tunamkaribia Mungu Ujasiri kwa wakati ujao unaongelewa kana kwamba ni kitu ambacho kutia hicho mtu lazima amkaribie Mungu. # tunamkaribia Mungu Kumwabudu Mungu na kuwa na upendeleo wake vinaongelewa kana kwamba ni tendo la kumkaribia yeye.