sw_tn/heb/07/18.md

586 B

kulikuwa na amri ya kwanza kutanguliwa

Mungu aliifanya amri yake ya kwanza kutofaa"

sheria haikukamilisha chochote

sheria inaongelewa kana kwamba alikuwa ni mtu ambaye angeweza mutenda.

kuna utangulizi wa ujasiri mzuri

"Mungu ametupa hoja bora ya kuwa na ujasiri"

kuna utangulizi wa ujasiri bora iliyombele yetu ambayo kwa hiyo tunamkaribia Mungu

Ujasiri kwa wakati ujao unaongelewa kana kwamba ni kitu ambacho kutia hicho mtu lazima amkaribie Mungu.

tunamkaribia Mungu

Kumwabudu Mungu na kuwa na upendeleo wake vinaongelewa kana kwamba ni tendo la kumkaribia yeye.