sw_tn/heb/07/15.md

908 B

Maelezo ya Jumla:

Nukuu hii inatoka katika Zaburi ya mfalme Daudi

haya tuyasemayo ni wazi hasa

" tunaweza kuelewa hata zaidi." "tuna" inamaanisha mwandishi na watu anaowaandikia.

ikiwa kuhani mwingine atatokea

"kama kuhani mwingine atakuja"

kwa mfano wa Melikizedeki

Hii ina maana kwamba kristo ana sifa sawa na kuhani Melikizedeki.

kwa msingi wa sheria zinazohusiana na uzao wa mwili

wazo la huzao wa mtu linaongelewa kana kwamba ilikuwa inashughulika na mwili wa mtu.

lakini katika msingi wa nguvu ya maisha yasiyo haribika

Neno " alifanyika kuhani" linaeleweka. AT: "lakini alikuwa kuhani kwa msingi wa nguvu ya maisha ambayo hayatakoma"

Kwa sababu maandiko yanashuhudia kuhu yeye

Hii inaongelewa kana kwamba andiko ni mtu ambaye angeweza kushuhudia kuhusu kitu.

kwa mfano wa Melikizedeki

Hii ina maanisha kwamba Kristo kama kuhani ana sifa sawa na za kuhani Melikizedeki.