sw_tn/heb/07/15.md

32 lines
908 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Nukuu hii inatoka katika Zaburi ya mfalme Daudi
# haya tuyasemayo ni wazi hasa
" tunaweza kuelewa hata zaidi." "tuna" inamaanisha mwandishi na watu anaowaandikia.
# ikiwa kuhani mwingine atatokea
"kama kuhani mwingine atakuja"
# kwa mfano wa Melikizedeki
Hii ina maana kwamba kristo ana sifa sawa na kuhani Melikizedeki.
# kwa msingi wa sheria zinazohusiana na uzao wa mwili
wazo la huzao wa mtu linaongelewa kana kwamba ilikuwa inashughulika na mwili wa mtu.
# lakini katika msingi wa nguvu ya maisha yasiyo haribika
Neno " alifanyika kuhani" linaeleweka. AT: "lakini alikuwa kuhani kwa msingi wa nguvu ya maisha ambayo hayatakoma"
# Kwa sababu maandiko yanashuhudia kuhu yeye
Hii inaongelewa kana kwamba andiko ni mtu ambaye angeweza kushuhudia kuhusu kitu.
# kwa mfano wa Melikizedeki
Hii ina maanisha kwamba Kristo kama kuhani ana sifa sawa na za kuhani Melikizedeki.