sw_tn/heb/07/13.md

406 B

Kwa ambaye

Hii ina maanisha Yesu.

ambaye mambo mambo haya yanasemwa kuhusu yeye

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "ambaye ninaongea kuhusu yeye

Sasa

Hii haimanishi "wakati huu," lakini linatumika kuvuta usikivu kwa ajili ya kipengele muhimu kinachofuata.

Bwana wetu alizaliwa katika Yuda

Haya maneno "Bwana wetu" linamaanisha Yesu.

kutoka Yuda

"kutoka katika kabila la Yuda"