sw_tn/heb/07/13.md

20 lines
406 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa ambaye
Hii ina maanisha Yesu.
# ambaye mambo mambo haya yanasemwa kuhusu yeye
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "ambaye ninaongea kuhusu yeye
# Sasa
Hii haimanishi "wakati huu," lakini linatumika kuvuta usikivu kwa ajili ya kipengele muhimu kinachofuata.
# Bwana wetu alizaliwa katika Yuda
Haya maneno "Bwana wetu" linamaanisha Yesu.
# kutoka Yuda
"kutoka katika kabila la Yuda"