# Kwa ambaye Hii ina maanisha Yesu. # ambaye mambo mambo haya yanasemwa kuhusu yeye Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "ambaye ninaongea kuhusu yeye # Sasa Hii haimanishi "wakati huu," lakini linatumika kuvuta usikivu kwa ajili ya kipengele muhimu kinachofuata. # Bwana wetu alizaliwa katika Yuda Haya maneno "Bwana wetu" linamaanisha Yesu. # kutoka Yuda "kutoka katika kabila la Yuda"