sw_tn/heb/06/16.md

945 B

kwa warithi wa ahadi

kwa watu ambao Mungu amewawekea ahadi wanaongelewa kana kwamba walikuwa warithi kitu na utajiri kutoka kwa mwanafamilia. AT: "kwa wote ambao wangepokea kile alichoahidi"

kwa kusudi zuri lisilobadilika

"kwamba kusudi lake halitabadilika kamwe" au "kwamba mara zote atafanya kile alichosema atafanya"

kwa vitu viwili visivyobadilika

Hii ina maana ahadi ya Mungu na kiapo cha Mungu. Wala hivi haviwezi kubadilika.

ambavyo katika hivyo haiwezekani kabisa Mungu kudanganya

Vikanushi hivi viwili vinaweza kumaanisha kwamba Mungu atasema kweli kuhusu hali hii. AT:"ambayo mara zote Mungu husema kweli"

sisi, tuliokimbilia

Waumini, ambao wanatumaini katika Mungu kwa yeye kuwalinda, wanaongelewa kana kwamba walikuwa wanakimbilia kwenye sehemu salama. AT: ""sisi, ambao tuliomtumaini yeye"

lile lililowekwa mbele zetu

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "kile ambacho Mungu ameweka mbele zetu"