# kwa warithi wa ahadi kwa watu ambao Mungu amewawekea ahadi wanaongelewa kana kwamba walikuwa warithi kitu na utajiri kutoka kwa mwanafamilia. AT: "kwa wote ambao wangepokea kile alichoahidi" # kwa kusudi zuri lisilobadilika "kwamba kusudi lake halitabadilika kamwe" au "kwamba mara zote atafanya kile alichosema atafanya" # kwa vitu viwili visivyobadilika Hii ina maana ahadi ya Mungu na kiapo cha Mungu. Wala hivi haviwezi kubadilika. # ambavyo katika hivyo haiwezekani kabisa Mungu kudanganya Vikanushi hivi viwili vinaweza kumaanisha kwamba Mungu atasema kweli kuhusu hali hii. AT:"ambayo mara zote Mungu husema kweli" # sisi, tuliokimbilia Waumini, ambao wanatumaini katika Mungu kwa yeye kuwalinda, wanaongelewa kana kwamba walikuwa wanakimbilia kwenye sehemu salama. AT: ""sisi, ambao tuliomtumaini yeye" # lile lililowekwa mbele zetu Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "kile ambacho Mungu ameweka mbele zetu"