sw_tn/heb/06/13.md

219 B

Alisema

Mungu akasema

Nitakuongeza zaidi

Neno "ongeza" hapa linasimama kwa uzao. AT: "Nitakupa uzao mwingi'

Kile kilichoahidiwa

Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: " Kile ambacho Mungu alimuahidi"